Msanii Kutokea Nchini Nigeria, Phlexdenary, mkali wa wimbo 'Bam Bam' ft. Rayvanny ameachia wimbo wake video rasmi ya wimbo wake 'Flavour' iliyoongozwa na Director...
Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutokea nchini Kenya, Jussneera ameachia video rasmi ya wimbo wake mpya uitwao 'Hatuna Kazi Mbovu'.
Wimbo huo kutoka kwa...
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Mrlambert mzaliwa wa Tanzania, mwenye makazi yake nchini Marekani amethibitisha kuwa kwenye mpango wa maandalizi ya EP yake...
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Lambert Mlule a.k.a Mrlambert ameachia video rasmi ya wimbo wake mpya 'Shake Em'.
Mrlambert anaachia kazi yake hii mpya...
Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutokea nchini Kenya, Yangy ameachia video rasmi ya wimbo wake mpya, ‘Balaa’ chini ya FOWESO STUDIO.
Yangy anatajwa kati...
Msanii wa muziki wa kizazi kutokea nchini Kenya, K Rhyme Classic ameleza kuvutiwa na mrembo maarufu kwenye mitandao ya kijamii nchini humo, Azziad Nasenya...
Msanii wa muziki wa Rap kutokea Sydney, Australia, Simorix Jenerali a.k.a The General, amewaomba watanzania kulinda amani na kuitumia haki ya kimsingi ya kumchagua...
Nyota wa muziki kutokea nchini Nigeria,Ayodeji Ibrahim Balogun maarufu kama Wizkid amehairisha mpango wa kuachia album yake ya nne, ‘Made In Lagos iliyotarajiwa kutoka...
Nyota wa muziki kutokea nchini Tanzania, Barakah Andrew maarufu kama Barakah The Prince ameachia rasmi video ya wimbo wake mpya uitwao ‘Sawa’.
Wimbo wake huu...