Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF) imesema mchezaji Bernard Morrison ameshinda kesi yake dhidi ya klabu ya Yanga na ataendelea kuwa mchezaji halali wa Simba...
Mwanamuziki mashuhuri wa nchini Kenya, Wilson Abubakar Radido maarufu kama Willy Paul ametangaza mipango wa kuachia wimbo wake mpya aliomshirikisha mwanakikundi wa Sauti Sol,...
Mwimbaji wa muziki wa Injili Mtanzania anayeishi nchini Marekani, Ezekeil John ameachia rasmi video ya wimbo wake mpya Uitwao 'You Got Me Dacing'.
Wimbo huo...
Msanii wa muziki kutoka Burundi mkali wa Afro-Beats anayefanya kazi zake nchini Marekani, maarufu kama 'Mt Number One' ameachia video rasmi ya wimbo wake...
Msanii wa muziki kutoka nchini Kenya anayefanya kazi za muziki wake chini ya lebo ya muziki iitwayo 'Levels Creative', Shazzie Kemz amekutana kisanaa na...
Msanii wa muziki wa Dancehall na Reggae kutoka Zimbabwe mwenye makazi yake nchini Afrika Kusini, Buffalo Souljah ameachia rasmi wimbo wake mpya kwa jina...
Msanii wa muziki kutoka nchini Kongo mwenye makazi yake nchini Australia 'Lacreamena' ameachia rasmi wimbo wake wa kwanza Chini ya lebo Spark Music kwa jina...
Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka Tanzania, Japhet Cosmas a.k.a Japhee, ameachia rasmi wimbo wake mpya kwa jina ‘Nitalala’, Juni 12 2020.
Japhee anayefanya...