Msanii Rhino The Don anayeishi Marekani ameachia wimbo ‘Wekaa’ aliomshirikisha rapper Mtanzania Shetta.
Wimbo huo uliofanyika bila wawili hao kukutana uso kwa uso, umetayarishwa na...
Kundi la muziki la Sauti Sol kutoka Kenya, kuachia wimbo wao wa kwanza kutoka kwenye la album yao ijayo, ‘Midnightrain’.
Wimbo kwa jina ‘SUZANNA’ utaachiwa...
Mwimbaji kutoka Kenya, Nadia Mukami amedai kuwa kuelekea Februari 14 2020 siku ya wapendanao anaendelea kujipumzisha bila mpenzi ‘Single’ baada ya kuvunjika kwa ahusiano...
Mwimbaji wa muziki wa Injili kutoka nchini Kongo mwenye Makazi yake nchini Marekani, Shadrack Mule ameeleza kilichomksukuma kuachia rasmi wimbo wake mpya kwa jina...
Rapper mtanzania Roma Mkatoliki ameachia filamu fupi inayoeleza uandishi wa wimbo wake Mkombozi aliomshirikisha One Six.
Filamu hiyo iliyoachiwa kwenye mtandao wa YouTube, maigizo yake...
Mkali wa wimbo ‘Paraza’, Bazil Hazil ameufunga Mwaka 2019 na Nyingine kwa upishi wa Producer Kimambo na Director Joma.
Kutoka kwake Utayarishaji huu unajirudia tena...
Hii ndo list ya nyimbo 30 zitakazopatikana kwenye Album ya kwanza ya Ibrahim Mandingo a.k.a #CountryBoy au #Gaddafi kutoka Tanzania.
#YULEBOY ndo jina la Album na itatoka rasmi leo Novemba...