Ligi kuu ya soka nchini Ujerumani Bundesliga imepanga ratiba ya kurejea rasmi Mei 22, 2020.
Ratiba hii imefikiwa baada ya Kansela Angela Merkel kutoa ruhusa...
Katika kipindi hichi ambacho tupo nyumbani DStv inakuhakikishia kuwa nawe na kuhakiksha huwi mpweke kupitia tamthilia kali ndani ya chaneli pendwa maisha magic bongo.
Jumapili...
Mwanazuoni nchini Tanzania na Afrika Mashariki, Sheikh Suleiman Amran Kilemile amefariki usiku wa kuamkia, Mei 06, Katika Hospitali ya Sinza jijini Dar es Salaam.
Sheikh...
Wasanii wa muziki kutoka Tanzania, Rapper Kala Jeremiah na Mwimbaji Malaika wameachia wimbo wa kushirikiana wakizungumzia vita dhidi ya janga la ugonjwa Corona uliopewa...
Nyota wa muziki nchini Tanzania, Nseeb Abdul Juma a.k.a Diamond Platnumz amehisiwa kuwa katika hatua za mwisho za ujenzi wa Mnara wa Wasafi.
Kupitia ukurasa wake...
Msanii wa muziki kutoka Tanzania, Mwenye makazi yake chini Ufaransa, Vasmo ameachia wimbo wake mpya baada ya kimya cha miezi miwili tangu aachie kazi...
Msanii wa muziki kutoka Tanzania, mwenye makazi yake nchini Marekani, K Light amekubali kutuliza boli bila kuachia kazi mpya katika kipindi ambacho Dunia inapambana...