General

FC Barcelona Kuingia Rasmi Mazoezini Baada Ya Vipimo Vya Corona

Kikosi cha wachezaji wa Klabu ya Barcelona kitarudi mazoezini baada ya wachezaji wote wa klabu hiyo kupimwa na kukutwa hawana Virusi vinavyosababisha Ugonjwa wa...

Red Afurahia Kiwango Chake Ndani Ya Man United

Fred anakiri kuwa "ametulia" huko Manchester United baada ya msimu wa kwanza "mbaya", miaka miwili tangu Jose Mourinho na Pep Guardiola walipopigana vikumbo kuwania...

Miroslav Klose Aibukia Benchi La Ufundi Bayern Munich.

Fc Bayern Munich wamemtambulisha Miroslav Klose kuwa kocha msaidizi chini ya Hansi Flick kwa kandarasi ya mwaka mmoja. Mkataba wa mshambuliaji huyo wa zamani wa...

Mkuu Wa Wilaya Ya Nyang’hwale Hamim Gwiyama Afariki Dunia

Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Nyang'hwale, mkoani Geita, Hamim Gwiyama amefariki dunia leo Mei 7, 2020 katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando jijini Mwanza...

Tiwa Savage Atangaza Jina La Album Yake Mpya Ijayo.

Mei 7, 2020 kupitia ukurasa wake wa twitter, Nyota wa muziki kutoka nchini Nigeria, Tiwa Savage ametangaza kuwa albamu yake ijayo itakwenda kwa jina...

Rais John Pombe Magufuli Amteua Dkt. Delphine Diocles Magere Kuwa Katibu Tawala Wa Mkoa Wa Pwani.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Delphine Diocles Magere kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani. Dkt....

Mbunge Suleiman Masoud Suleiman ‘Suleiman Nchambi’ Ashikiliwa Na Jeshi La Polisi.

Jeshi la polisi Mkoani Shinyanga linamshikilia Mbunge wa jimbo la Kishapu mkoani Shinyanga Suleiman Masoud Suleiman maarufu Suleiman Nchambi kwa tuhuma za kupatikana na...

Rapper Kiing Shooter kutoka Lebo Ya Rapper Nas Afariki Dunia

Rapper Kiing Shooter kutoka lebo iliyoazishwa na Rapper 'Nas' na Muandaaji wa Filamu Peter Bittenbender, Mass Appeal Records, amefariki Dunia akiwa na Umri 24. Kupiatia...

RC Makonda Awanyanyukia wabunge waliondoka Bungeni na Kukimbilia Dar

Mkuu wa Mkoa wa jiji la Dar es Salaam, Mhe. Paul C. Makonda ametoa Muda wa Saa 24 kwa Wabunge wote waliokimbia kushiriki vikao...

Latest articles

spot_imgspot_img