Mkuu wa Mkoa wa jiji la Dar es Salaam, Mhe. Paul C. Makonda ametoa Muda wa Saa 24 kwa Wabunge wote waliokimbia kushiriki vikao vya Bunge na kwenda Dar es salaam kuhakikisha wanarudi Bungeni tofauti na hapo watakamatwa kwa kosa la Uzururaji.
RC makonda alieleza kuwa kwa uataratibu sahihi ni kuwa Mbunge anaepaswa kuwa Dar kwa sasa ambapo vikao vya Bunge vinaendelea ni mwenye Kibali cha Spika tu.




