Rapper Kiing Shooter kutoka Lebo Ya Rapper Nas Afariki Dunia

Rapper Kiing Shooter kutoka lebo iliyoazishwa na Rapper ‘Nas’ na Muandaaji wa Filamu Peter Bittenbender, Mass Appeal Records, amefariki Dunia akiwa na Umri 24.

Kupiatia Ukurasa wake wa Instagram, Rapper Nas amethibitisha taarifa z akicho ya Rapper Mkali wa wimbo ‘Eye Witness’ ft Dave East.

Rapper Nas Aliandika “@kiingshooter You made your mark and got your wings,” Nas wrote. “On many hearts, you pulled their strings. From QB to Heaven, the world in between. What a pleasure to have you, in our lives, in this world, in our world. We shared our street dreams. Condolences to @kiingshooter family and friends.

Shooter ambaye jina lake kamili William Daniels mzaliwa wa Long Island City, New York alifariki Mei 5, 2020.

Siku chache zilizopita, Shooter alieleza kwamba alikuwa amelazwa hospitalini.

Kulazwa kwake ilidaiwa ni kutokana na kusumbuliwa na tatizo la Ini.

Kiing Shooter alitambulika zaidi na wimbo wake “They Say” ambayo ilitolewa Juni 29, 2018.

Latest articles

spot_imgspot_img

Related articles

Leave a reply

Please enter your comment!
Please enter your name here

spot_imgspot_img