Mbunge Suleiman Masoud Suleiman ‘Suleiman Nchambi’ Ashikiliwa Na Jeshi La Polisi.

Jeshi la polisi Mkoani Shinyanga linamshikilia Mbunge wa jimbo la Kishapu mkoani Shinyanga Suleiman Masoud Suleiman maarufu Suleiman Nchambi kwa tuhuma za kupatikana na silaha 10, risasi 536 na nyama zinazodhaniwa kuwa ni za wanyamapori kinyume cha sheria.

Jeshi la Polisi lilifanya upekuzi nyumbani kwake mara baada ya kupata taarifa kuwa Mbunge huyo anajihusisha na uwindaji haramu. Upekuzi huo ulifanyika Mei 3, 2020.

Latest articles

spot_imgspot_img

Related articles

Leave a reply

Please enter your comment!
Please enter your name here

spot_imgspot_img