Pata Uhondo wa Tamthilia Kali Ndani Ya Chaneli Pendwa Maisha Magic Bongo.

Katika kipindi hichi ambacho tupo nyumbani DStv inakuhakikishia kuwa nawe na kuhakiksha huwi mpweke kupitia tamthilia kali ndani ya chaneli pendwa maisha magic bongo.

Jumapili – Jumatatu SAA 3:30 usiku utapata kuburudika na kuvunja mbavu kupitia tamthilia ya vichekesho KITIMTIM .
Jumatatu -Ijumaa SAA 3 usiku ni mambo ya mapenzi kupitia tamthilia ya HUBA.
Tunazidi kunogesha uhondo kupitia Tamthilia ya Nyavu inayoruka siku za Jumatatu – Jumatano saa 1:30 usiku.
Huku ukipata kuburudika na Tamthilia ya Slay Queen siku za Jumatano – Ijumaa saa 3:30 usiku.
Yote haya utayapata kupitia kifurushi cha Bomba 19,000 tu.
#TupoNawe,

 

Latest articles

spot_imgspot_img

Related articles

Leave a reply

Please enter your comment!
Please enter your name here

spot_imgspot_img