Mtayarishaji nyota wa nchini Marekani, Swizz Beatz amejitokeza kueleza juu ya alichofanya Diamnd Platnumz kwenye Album ya Saba ya Alicia Keys, ‘ALICIA’.
Mkali Kasseem ‘Beatz’...
Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mbwana Ally Samatta ametajwa katika tetesi za kuiacha Aston Villa na kutimkia Uturuki.
Mitandao mbalimbali ya...
Nyota wa muziki wa Dancehall, Thabani Ndlovu maarufu kama Buffalo Souljah amesaini mkataba na kampuni ya biashara ya muziki na burudani ya nchini Jamaika,...
Msanii wa muziki wa kizazi kipya mzaliwa wa Tanzania mwenye makazi yake nchini Marekani, 'MrLambert' ameachia wimbo wake mpya, 'Mhm Aha'.
'MrLambert' ambaye jina lake...
Pitia kutazama mechi tatu za ligi kuu Tanzania Bara zinazotarajiwa kuchezwa Septemba 12 2020.
https://twitter.com/Tanfootball/status/1304658994393423872
Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania Mwenye makazi yake nchini Marekani, Blaise Platii-Na ameachia rasmi album yake ya kwanza.
Blaise mwenye umri...