News

Mandi Classic Ashinda Mchezo Wa Penzi Kwa Wimbo Wake ‘Nimemiss’

Msanii wa muziki kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo mwenye makazi yake nchini Marekani, Mandi Classic amefanikiwa kumrejesha aliyepelekea wazo la wimbo wake ‘Nimemiss’. Mandi...

Mfanyabiashara ya Dawa za Kulevya ‘Rocco Morabito’ Atoroka Gerezani na Wenzake

Nguli wa biashara ya dawa za kulevya nchini Italia, Rocco Morabito na wafungwa wenzake watatu wametoroka gerezani nchini Uruguay. Rocco na wenzake walitoroka kupitia tundu...

Ringtone Aibuka Tena Na Sakata la Kutafuta Mke Na Mrembo Wolper

Sakata la Mwimbaji wa muziki wa Injili nchini Kenya, Ringtone kutafuta Mke limeibuka na Mrembo Mfanyabiashara kutoka Tanzania, Jacqueline Wolper. Mwimbaji huyo alionekana mara kadhaa...

Victoria Kimani ataka jibu la mashabiki kuhusu kufanya kazi na Ne-Yo

Staa wa muziki kutoka Kenya, Victoria Kimani amerusha swali kwa mashabiki kuhusu kufanya kazi ya pamoja na Staa wa Marekani, Shaffer Chimere Smith a.k.a...

Diamond Platnumz aweka video ya wimbo ‘Kanyaga’ hewani

Mstaa wa muziki kutoka Tanzania, Diamond Platnumz ameachia rasmi Video ya wimbo wake 'Kanyaga' iliyoongozwa na Director Kenny chini ya Zoom Production. Itazame Vide ya...

Diamond Platnumz – Kanyaga (Official Music Audio)

Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Juma a.k.a Diamond Platnumz ameachia wimbo wake mpya uitwao 'Kanyaga' uliotayarishwa na Producer S2Kizzy. Sikiliza wimbo huo...

The Mafik – Bobo (Official Music Video)

Kundi la muziki nchini Tanzania, The Mafik limeachia video ya wimbo wao mpya 'Bobo' iliyoongozwa na Kwetu Studio. Audio imetayarishwa na Producer John Blaze. Itazame...

Nay Wa Mitego abwagiza kuwa Mhuni na Mlevi kupindukia

Msanii wa muziki nchini Tanzania, Emmanuel Elibariki a.k.a Nay wa Mitego ametumia kibwagizo cha kuandamwa na skendo za ulevi wa Pombe wa kupindukia na...

Kassam – Rhoda (Official Music Video)

Msanii wa muziki kutoka Tanzania, Kassam ameachia video ya wimbo wake uliopewa jina la 'Rhoda'. Video ya wimbo huoo imeongozwa na Director kutoka Tanzania, Beel....

Latest articles

spot_imgspot_img