News

Harmonize awapa zawadi ya Magari wazazi wake

Staa wa muziki kutoka lebo ya WCB Wasafi, Rajab Abdul Kahali a.k.a Harmonize amewapa zawadi ya magari  mawili ya aina moja wazazi wake. Staa huyo...

Nedy Music na Singah kutoka Nigeria njiani kuwasha Moto

Staa wa muziki nchini Tanzania, Nedy Music yuko mbioni kuachia video ya wimbo aliomshirikisha Staa wa wimbo ‘Teyamo’, Singah kutoka Nigeria. Video ya wimbo huo...

Timbulo baada ya kovu la Baba Mzazi, ajitokeza akiwa na Jux

Staa wa muziki kutoka Tanzania, Timbulo ameachia video ya wimbo wake mpya aliomshirikisha Jux 'Nashukuru'. Wimbo huo umetayarishwa na Producer Mocco Genius huku video ikiongozwa...

Mandi Classic – Nimemiss (Music Video)

Msanii wa muziki kutoka nchini Kongo mwenye makazi yake nchini Marekani, Mandi Classic ameachia video rasmi ya wimbo wame 'Nimemiss'.   https://www.youtube.com/watch?v=rmviWQZ8vUk

Mahakama yatoa Agizo la Wema Sepetu kukamatwa

  Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetoa hati ya kukamatwa kwa Msanii wa Filamu Tanzania, Wema Sepetu kwa kukiuka masharti ya dhamana. Uamuzi huo umetolewa na...

VERA SIDIKA NI MJAMZITO?/ HAONGEI NA ZARI?: MAAJIBU HAYA HAPA KUTOKA KWA VERA

VERA SIDIKA NI MJAMZITO?/ HAONGEI NA ZARI?: MAAJIBU HAYA HAPA KUTOKA KWA VERA

SALLAM SK NA HARMONIZE WANA TATIZO?/ KWANINI MENDEZ HAKUFIKA KWENYE HARMO NIGHT?

SALLAM SK NA HARMONIZE WANA TATIZO?/ KWANINI MENDEZ HAKUFIKA KWENYE HARMO NIGHT?

WALICHOZUNGUMZA TFF KUHUSU SIMBA VS SEVILLA/ SOKA LA WENZETU LINAENDESHWA KISASA ZAIDI, TUJIFUNZE

WALICHOZUNGUMZA TFF KUHUSU SIMBA VS SEVILLA/ SOKA LA WENZETU LINAENDESHWA KISASA ZAIDI, TUJIFUNZE

SANCHI AJA KIVINGINE MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN/ ATOA MSAADA KWA WATOTO YATIMA

SANCHI AJA KIVINGINE MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN/ ATOA MSAADA KWA WATOTO YATIMA

Latest articles

spot_imgspot_img