BASATA Yatoa Ufafanuzi Kuhusu Zawadi Za Mshindi Wa BSS Mwaka 2019

Meshack Fukuta a.k.a Meshamazing

Baraza la Sanaa la Taifa – BASATA limetoa ufafanuzi wa zawadi ya mshindi wa mwaka 2019 wa Mshindano ya kuimba ya BSS, Meshack Fukuta yanayofanyika chini ya Kampuni ya Benchmark Production baada ya fukuto la madai ya kuwa mshindi huyo hakupata malipo yake kama sehemu ya zawadi ya ushindi wake.

 

Latest articles

spot_imgspot_img

Related articles

Leave a reply

Please enter your comment!
Please enter your name here

spot_imgspot_img