Eddy Kenzo Maji Ya shingo Kusalia Nchini Ivory Coast

Nyota wa muziki kutoka nchini Ugand, Eddy Kenzo anaonesha kuwa ni mwenye kupitia hali inayompelekea kuwa na huzuni kwa sasa.

Kupitia ukurasa wake wa twitter, Kenzo alinadika kuwa ni mwenye huzuni hali iliyoleta maswali, ikizigatiwa kuwa yuko nchini ivory Cost kwa wiki kadhaa sasa.

Kenzo anaendelea kuwa nchini Ivory Cost kutokana hatua ya Uganda kusitisha safari za kuingia na kutoka nchini humo Mwezi Machi mwaka huu ikiwa ni moja ya hatua za kupambana vita dhidi ya Ugonjwa wa Corona.

Hatua hiyo ya Uganda kusitisha safari za kuingia na kutoka nchni humo, ilimlazima Msanii huyo kusalia nchini humo kutokana kuwa hawezi kusafiri urejea nyumbani Uganda.

Latest articles

spot_imgspot_img

Related articles

Leave a reply

Please enter your comment!
Please enter your name here

spot_imgspot_img