Agosti 7 inawezekana kuwa tarehe ya mchezo wa pili wa Ligi ya Mabingwa Round of 16, Real Madrid dhidi ya Manchester City.

Kuelekea mchezo huo kwa tarehe hiyo, itakuwa ni siku 174 tangu upande wa Pep Guardiola kushinda ushindi wa kwanza 2-1 kwenye dimba la Estadio Santiago Bernabeu.
UEFA itatoa uamuzi wa mwisho juu ya ratiba ya Ligi ya Mabingwa na Ligi ya Europa katika mkutano wa bodi ya watendaji Mei 27 Mwaka huu.
Written By @sizyasports.




