Tarehe kama ya leo(Mei 14) mwaka 2015, Nyota wa muziki kutoka nchini Nigeria, David Adedeji Adeleke maarufu kama Davido na Bi. Sophia Ajibola Momodu walibarikiwa kupata mtoto wa kike, Aurora Imade Adeleke.
IMADE DAY ???❤️❤️??????????
— Davido (@davido) May 14, 2020

Davido na Sophia walitengana baadae kwa sababu za kutoelewana katika malezi ya mtoto huyu kwa mujibu wa Davido. Aurora Imade Adeleke ni mtoto wa kwanza kwa Davido na leo ametimiza umri wa miaka mitano(5).




