Msanii wa muziki wa Injili anayeiwakilisha Afrika Mashariki nchini Kanada, Innocent Kazera mwenye makazi yake nchini Kanada ameachia rasmi wimbo wake wa kwanza kwa Mwaka wa 2020.

Wimbo wake huo unakwenda kwa jina, ‘Umetukuka’ na tayari aleeza nia yake ya uachia video rasmi ya wimbo huo uliobeba.
Pamoja na kuwa yuko nchini humo, kazi hiyo imendaliwa na Producer Fraga kutoka nchini Tanzania.
Usikilize wimbo waka hapa




