Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigella amepiga marufuku madereva wa magari ya mizigo ya kutoka Kenya kuingia nchini kupitia mpaka wa Horohoro.

RC Shigela aliweka wazi ruksa zitatoka kwa magari yatakayokuwa njiani kuelekea nchi jirani za Congo, Rwanda, Zambia na kwingineko yataruhusiwa kupita.




