Mtayarishaji na msanii wa muziki nchini Tanzania, anayeunda kundi la Navy Kenzo na Mpenzi wake Aika, Nahreel ametoa sababau za kwanini EP yao haitatoka na baadala yake waachia album hivi karibuni.
Kupaitia ukurasa wake wa Instagram, Nahreel alaandika kuwa Album itatoa hivi karibu ambapo shabiki mmoja aliuliza juu ya EP yao ‘Locked Up’ iliyokwisha tangazwa kuwa itatoka ambapo Nahreel alijibu kuwa kwa sasa wataachia Album kwa nia ya kuwapa zaidi Burudani mashabiki wao
“Now we giving you Album, tunataka menjoy zaidi ni jibu la Nahreel kwenda kwa shabiki aliye uliza Locked EP Vipi?.




