Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli amesema mwanae wa kumzaa mwenyewe alipata maambukizi ya Ugonjwa wa Corona akajifungia ndani akijifukiza, kula malimano na sasa amepona.
Rais Magufuli Adai Mwanae Alikutwa Na Corona Na Sasa Amepona
Related articles




