Zuchu Aachia Video rasmi ya wimbo ‘Nisamehe’ Kutoka Kwenye EP yake ‘I AM ZUCHU’

Kutoka kwenye EP yake ya kwanza, Msanii Zuchu kutoka lebo ya WCB Wasafi, ameachia video rasmi ya wimbo wake ‘Nisamehe’.

Video ya wimbo huo imeongozwa na kuandaliwa na Director Kenny chini ya kampuni ya uandaaji video nchini Zoom Extra inayomilikiwa na Staa wa muziki Diamond Platnumz.

Hata hivyo inatarajiwa baada ya video zote kutoka za nyimbo zote 7 za EP hiyo, Mkurugenzi wa Lebo hiyo, Diamond Platnumz naye ataachia kazi yake mpya.

Latest articles

spot_imgspot_img

Related articles

Leave a reply

Please enter your comment!
Please enter your name here

spot_imgspot_img