News

LULU MICHAEL: “NILIMKUFURU MUNGU SASA BASI”

LULU MICHAEL: "NILIMKUFURU MUNGU SASA BASI"

NILIOTA NIMESHINDA NYUMBA/ NDOTO IMETIMIA MARA MBILI: PRISCA MSHINDI WA NYUMBA NA MIL 20 KUTOKA BIKO

Kwa mara ya kwanza historia imeandikwa Tanzania kwa Prisca Simon Msuya kuwa mtanzania wa kwanza kushinda nyumba ya kisasa na 20,000,000/= kwa buku tu.#BIKOTANZANIA

VERA SIDIKA NA OTILE BROWN MIKONONI MWA LAIZER WA WCB!

@lizerclassic yupo nchini Kenya kwenye #CokeStudio2018 na kuna kila dalili ya kuwa tayari amefanya kazi na waliowai kuwa wapenzi @otilebrown na @queenveebosset

EXCLUSIVE: CRISTIAN BELLA AFUNGUKA UKWELI KUHUSU MPENZI MPYA WA HAMISSA MOBETTO

DizzimOnline kupitia Muandishi wake Dinny Nassor imefanya mahojiano na Msanii Christian Bella akiwa nchini Marekani, na Amefunguka kuhusu Issue ya Hamissa Mobetto na Mpenzi...

NANCY SUMARI AWA MIONGONI MWA WATEJA WALIOFURAHIA PUNGUZO 70% LA DANUBE LEO

DANUBE yaamua kuwapa Wateja wake Punguzo la Asilimia 70% ya FURNITURE pamoja na Bidhaa mbalimbali za MAJUMBANI pamoja na MAOFISINI. Moja ya Watu waliokuwa...

MAMA DANGOTE AFUNGUKA: SIJATAKA KWENDA KWA ZARI/ NIKIAMUA MAMA TEE ANATUMA TIKETI KAMA UPEPO

Mama Dangote amjibu Shabiki kwenye Mtandao wa kijamii wa Instagram baada ya kuulizwa kwanini haendi Afrika Kusini kwa Zari kama ilivyokuwa zamani.

BASATA Wazungumzia kuifungia wasafi Festival endapo utatumika wimbo wa MWANZA

BASATA Wazungumzia kuifungia wasafi Festival endapo utatumika wimbo wa MWANZA

SHEKHE MKUU ANENA KUHUSU USHOGA!: WAISLAMU HATUTAKI KABISA/ TUSILETE LAANA KWA WATOTO WETU

Shekhe Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakary Zubeir amegusia Suala la Ushoga hapa nchini ambalo siku za hivi Karibuni limeonekana kuibuka kwa kasi sana.

RAIS MAGUFULI KUUNGANA NA BAKWATA KUADHIMISHA SHEREHE ZA MAULIDI

Shekhe Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakary Zubeir, hii leo amezungumza na Waandishi wa Habari kuelekea Maadhimisho ya Sherehe za Maulidi zitakazofanyika Mkoani Tanga na...

Latest articles

spot_imgspot_img