Nyota wa Muziki kutoka Tanzania 'Juma Jux' ameonesha uwezekano wa kufanya kazi ya kushirikiana na mwimbaji Hanstone na Rappers Moni Centrozone na Joh Makini...
Viongozi hao wamepata maambukizi baada ya kutangamana na jopo la ngazi ya juu la kukabiliana na virusi hivyo nchini humo.
Taarifa kutoka nchini Sudani Kusini...
Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Kenya, aliyependelea kujitambulisha kwa jina moja tu la 'Yangy' ameachia video ya kwanza ya muziki kwa...
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigella amepiga marufuku madereva wa magari ya mizigo ya kutoka Kenya kuingia nchini kupitia mpaka wa Horohoro.
RC Shigela...
Msanii wa muziki wa Injili anayeiwakilisha Afrika Mashariki nchini Kanada, Innocent Kazera mwenye makazi yake nchini Kanada ameachia rasmi wimbo wake wa kwanza kwa...
Raba za mkongwe wa mpira wa kikapu kutoka Marekani, Michael Jordan zimeuzwa kwa dola 560,000 kwenye mnada wa mtandaoni uliofanywa na kampuni ya Sotheby's.
Viatu...
Msanii wa muziki kutoka nchini Uganda, Douglas Mayanja a.k.a Weasel Manizo amepata mtoto wa kike na Mrembo Sandra Teta, mrembo mwenye asili ya Rwanda.
Msanii huyo aliyebaki...
Mtayarishaji na msanii wa muziki nchini Tanzania, anayeunda kundi la Navy Kenzo na Mpenzi wake Aika, Nahreel ametoa sababau za kwanini EP yao haitatoka...