Mwimbaji Otile Brown 'OB' na Mtayarishaji wa muziki, Magix Enga 'Beat King' wameonekana kuwa jikoni huku waliowengi wakitarajia kazi kutoka kwa wawili hao.
Wawili hao...
Gwiji wa Saxophone na mwimbaji mkongwe wa muziki wa dansi nchini Tanzania, Mafumu Bilal Bombenga amefariki dunia usiku wa Mei 11, 2020.
Mke wa Mafumu...
Mrembo Nayika Thongom ‘Nnayikaa’ raia wa Thailand mwenye umri wa miaka 25 aliyepata umaarufu zaidi Afrika Mashariki kwa kuwa kwenye Mahusiano ya kimapenzi na...
Mchekeshaji kutoka Marekani, Kevin Hart na Mkewe Eniko Parrish wanatarajia kupata mtoto wao wa pili kwa mujibu wa picha walizo post Mchekeshaji huyo na mkewe...
Msanii wa muziki kutoka nchini Kenya, Willy Paul amekanusha kupitia ukurasa wake wa Instagram, madai ya kuandikiwa nyimbo na msanii mwenzake, Bahati.
Willy Paul alinekana...
Mpaka wa unaounganisha nchini ya Zambia na Tanzania umefungwa leo Mei 11 2020 kutekeleza Agizo la Rais wa Zambia, Edgar Lungu lililotolewa Mei 10 2020.
...
Madereva wa magari kutoka Tanzania wamezuiwa kuingia nchini Kenya katika mpaka wa Namanga hadi watakapopimwa ili kujua kama wanamaambukizi ya virusi vya Corona.
Msanii wa muziki wa Injili nchini Tanzania, Goodluck Gozbert ameachia wimbo kwa jina 'Simu' unaokumbusha juu ya kuchukua tahadhari ya kujinga na maambukizi ya...